Home Habari za kijamii Maafisa wa maendeleo ya jinsia na watoto wa Wilaya ya Mjini, wametoa Elimu kwa baadhi ya wanafunzi jinsi ya kujikinga na udhalilishaji.

Maafisa wa maendeleo ya jinsia na watoto wa Wilaya ya Mjini, wametoa Elimu kwa baadhi ya wanafunzi jinsi ya kujikinga na udhalilishaji.

by

Maafisa wa maendeleo ya jinsia na watoto wa Wilaya ya Mjini, wametoa Elimu kwa baadhi ya wanafunzi jinsi ya kujikinga na udhalilishaji unao endelea ili kuweza kutokomeza udhalilishaji huo katika jamii, Elimu hiyo imetolewa katika skuli ya sekondari Glorious Zanzibar.

 

 

related posts

Leave a Comment