Kampuni ya Halotel wakiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe Rashid Simai Msaraka wametoa vifaa vya kufanyia Usafi kwa Manispaa ya Mjini. Mhe Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashid Simai Msaraka amewaomba na kuwasisitiza wananchi kutupa taka kwa sehemu zisizo kuwa rasmi na Ameishukuru kampuni ya Halotel kwa kutoa vifaa hivyo vyenye thamani ya Milioni Hamsini na Moja.