Kamisheni ya kukabiliana na Maafa Zanzibar yatowa mafunzo kwa Maafisa Mbali mbali wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mjini kwa lengo la kujua na kukabiliana na Maafa katika Maisha yao ya kila siku ,Mafunzo hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mjini Amani Zanzibar.