Katibu Tawala Wilaya ya Mjini alipata fursa ya Kuendesha kikao cha Mkoa ambacho ambacho kina kaliwa kila mwaka mara mbili (2).
Kikao hicho ni utekelezaji wa Mradi wa Haki yangu Chaguo langu (My Righ My Choice) ambalo linawalenga watoto wa kike hasa wale wenye Ulemavu dhidi ya udalilishaji na ukatili wa kijinsia.
Mradi huu unatekelezwa katika Wilaya ya Mjini ndani ya Mkoa wa Mjini Magharibi na Mkoa wa Mara kwa Tanzania Bara.