Mazingira hatarishi kwa watoto Suleiman kombo makame na Mbarouk yamemlazimu mama mzazi bi NUNU kurudi kuwachukua na kwenda kuwalea mwenyewe baada ya takribani miaka 5 alipotengana na baba yao.