Viongozi mbali mbali wa Mkoa , Wilaya, viongozi vyama vya Siasa, wafanyakazi wa serikali na wananchi wa Mkoa wa Magharibi wakiwa katika eneo la mapokezi (ABEID A. KARUME) wakiusubiri Mwenge wa Uhuru ukitokea Mkoa wa Dar ES Salaam.