Wilaya ya Mjini itaanza zoezi la utoaji Chanjo ya Polio, Surua na Matone ya Vitamin A, kuanzia tarehe 17-20 Novemba 2022 “KUMBUKA KINGA NI BORA KULIKO TIBA”